Muungano wa maafisa wakuu watendaji wa Marekani na Uchina ACCS kwa ushirikiano na Shirika la Wanawake katika Biashara ya Kimataifa (OWIT), wametia Saini makubaliano ya ushirikiano wa kuimarisha uhusiano wa kibiashara na uwekezaji kati ya Kenya na China.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya