- 15,364 viewsDuration: 2:57Hali ya wasiwasi inaendelea kushuhudiwa mandera huku mapigano kati ya maafisa wa jubaland na wale wa serikali ya somalia yakiendelea kushuhudiwa. Vita hivyo vimesambaa hadi kaunti ya mandera na kusababisha hali ya wasiwasi. Na sasa huenda mapigano hayo yakaathiri shughuli za masomo mjini Mandera. Lakini kama anavyoarifu franklin wallah, waziri wa usalama Kipchumba murkomen akipuuzilia mbali kuwepo kwa wanajeshi wa Jubaland huko Mandera.