Timu ya Kenya inaendelea kufanya maandalizi yake ya Mashindano yajayo ya Ubingwa wa Dunia, huku vijana wapya WAkiimarisha kikosi cha wanariadha. Kwa mara ya kwanza, Kenya itashirikisha timu tatu za kupokezana vijiti, hatua muhimu inayoashiria kuimarika kwa nchi katika mbio fupi.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya