Skip to main content
Skip to main content

Shughuli ya kufukua mwili wa mwanafunzi aliyeuliwa na mpenziwe yaendelea Nyamira

  • | Citizen TV
    1,397 views
    Duration: 2:24
    Shughuli ya kufukua mwili wa mwanafunzi wa miaka ishirini Faith Kemunto, imefanyika huko Nyamira huku polisi wakimzuilia mshukiwa mkuu wa mauaji hayo. Inaarifiwa kuwa Gideon Makori, ambaye alikuwa mpenziwe alimuua na kisha kuuzika mwili.