- 374 viewsDuration: 1:27Mshukiwa mkuu wa mauaji ya Faith Kemunto, mwanafunzi wa Chuo Kikuu ambaye mwili wake ulifukuliwa jana kijijini Maosi, Nyamaiya, Kaunti ya Nyamira. Gideon Agisa Makori amefikishwa katika mahakama ya Nyamira, pamoja na mshukiwa mwingine, Vinic Kemunto Menyori aliyekuwa amempa hifadhi katika Mtaa wa Huruma, jijini Nairobi.