Skip to main content
Skip to main content

Wazee wataka jamii zote zinazoishi Samburu kuishi kwa amani

  • | Citizen TV
    240 views
    Duration: 2:28
    Baraza la wazee wa Samburu limetoa wito kwa wazee katika Kaunti ya Samburu kuungana na kuleta amani miongoni mwao pamoja na jamii zingine kwa ujumla. Mwanahabari wetu Aisha Seif anataarifa zaidi.