Skip to main content
Skip to main content

Mgogoro wa EACC na ODPP kuhusu kuondoa kesi ya Obado

  • | Citizen TV
    1,674 views
    Duration: 2:13
    Ofisi ya Mkurugenzi wa mashtaka ya umma inasema aliyekuwa Gavana wa Migori Okoth Obado na wengine katika kesi ya ufisadi ya shilingi million 73 wamepoteza mali yenye thamani ya shilingi milioni 235 pamoja na magari mawili ya kifahari , baada ya kuingia kwenye makubaliano ya maelewano Kwa ajili ya kuondia mashtaka dhidi Yao mahakamani. Hata hivyo, mvutano umeibuka baada ya Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi EACC, kupinga hatua ya kuondolewa kwa mashtaka, ikidai haikusaini makubaliano yaliyopelekwa kortini. mahakama imeiamuru ofisi ya mkurugenzi wa mashtaka kuipatia EACC mkataba huo ndani ya siku tatu. Mwanahabari wetu Dzuya Walter anatuarifu