5 Sep 2025 2:45 pm | Citizen TV 294 views Duration: 1:46 Wauzaji wa miraa nchini wameonya kuhusu uwepo wa wakiritimba wanaodaiwa kufanya kazi kwenye viwanja vya ndege, wakisema wanawazuia kufanya biashara na nchi nyingine