5 Sep 2025 2:48 pm | Citizen TV 189 views Duration: 1:27 Kamanda wa Polisi wa Kaunti ya Baringo, Julius Kiragu, akiandamana na maafisa wengine wa polisi, walitoa msaada wa vyakula na bidhaa mbalimbali kwa Shule ya Kabarnet ya wanafunzi wenye ulemavu wa macho na kusikia.