- 384 viewsDuration: 2:47Msururu wa uendeshaji baiskeli na upandaji milima wa Magical Kenya ulianza mkondo wake wa eneo la mlima kenya huku wito ukitolewa kwa wakenya kukumbatia utalii wa michezo nchini katika kaunti mbalimbali. Luqman mahmoud yupo kwenye msafara huo na ametuandalia taarifa ifuatayo.