Skip to main content
Skip to main content

Akina baba wa watoto wenye ulemavu watishia maandamano kuhusu usajili wa SHA

  • | Citizen TV
    538 views
    Duration: 2:13
    Akina baba wanaolea watoto wenye ulemavu wametishia kuandaa maandamano ya amani kote nchini iwapo serikali haitaharakisha usajili wa watoto hao katika mpango wa Bima ya Afya ya Jamii (SHA). Wamesema hatua hiyo ni muhimu ili kuhakikisha watoto wenye mahitaji maalum wanapata huduma za afya kwa urahisi na bila ubaguzi, huku wakitoa wito kwa serikali kushughulikia suala hilo kwa dharura.