- 206 viewsDuration: 3:15Akina mama katika maeneo ya Loborngare, Lolmolog na Longewan walioathiriwa na wizi wa mifugo wamehimizwa kujiunga na vikundi vya uwekezaji ili kujikwamua kiuchumi na kuboresha maisha ya familia zao. Wengi wao wamesema wamekumbwa na umaskini baada ya kupoteza mifugo ambayo ilikuwa chanzo kikuu cha mapato na riziki kwa familia zao.