Skip to main content
Skip to main content

Aliyechana noti ya Kenya kwenye Tiktok akamatwa

  • | BBC Swahili
    31,514 views
    Duration: 1:06
    Je wajua kuwa kuchana noti za sarafu ya Kenya kunaweza kusababisha ukafungwa jela? - Mwanaume mmoja aliyejirekodi kwenye mtandao wa Tiktok akichana noti ya shilingi 100 za Kenya ameshakamatwa na maafisa wa kitengo cha uchunguzi wa ulaghai katika sekta ya benki. - - - #kenyantiktok🇰🇪 #bbcswahili#foryou#wanaume Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw