- 634 viewsDuration: 1:07Ni pigo kwa Gavana wa Bomet Hillary Barchok baada ya Mahakama Kuu kukataa ombi lake la kuzuia tume ya kupambana na ufisadi EACC kumkamata , na kumfungulia mashtaka kuhusu ufisadi. Haya yanajiri huku aliyekuwa Gavana wa Bungoma Wycliffe Wangamati na washukiwa wengine 10 wakiendelea kuhojiwa katika makao makuu ya EACC kuhusu madai ya ufisadi Katika kaunti hiyo.