15 May 2026 1:46 pm | Citizen TV 1,149 views Duration: 45s Aliyekuwa gavana wa Migori Okoth Obado amepata afueni kubwa baada ya mahakama ya Nairobi kukubali makubaliano yaliyochochea kufutwa kwa mashtaka ya ufisadi yaliyokuwa yakimkabili yeye pamoja na washtakiwa wenzake.