Skip to main content
Skip to main content

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Chelogoi ahukumiwa miaka 3 jela kwa ulaghai wa shamba la KSh bilioni 1.3

  • | Citizen TV
    4,752 views
    Duration: 1:18
    Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Nairobi, Davis Nathan Chelogoi, amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu gerezani baada ya kupatikana na hatia katika kesi ya ulaghai wa shamba lenye thamani ya shilingi bilioni 1.3.