5 Sep 2025 11:00 am | Citizen TV 190 views Duration: 2:27 Baraza la wazee wa samburu limetoa wito kwa wazee katika kaunti ya samburu kuungana na kuleta amani miongoni mwao pamoja na jamii zingine kwa ujumla