4 Nov 2026 10:39 am | Citizen TV 537 views Duration: 1:35 Gavana wa Kirinyaga Anne Waiguru ametangaza kuwa maono ya maendeleo ya kaunti yake yametimia kwa kiasi kikubwa, yakidhihirishwa na ukuaji wa uchumi wa asilimia 66 katika kipindi cha uongozi wake wa miaka tisa.