Skip to main content
Skip to main content

Askofu Kodia ataka viongozi wa Nyanza kukutana kukabili vurugu

  • | Citizen TV
    787 views
    Duration: 2:02
    Askofu wa Kanisa la Anglikana David Kodia sasa anasema visa vya vurugu zinazoshuhudiwa maeneo ya Nyanza vinatia wasiwasi. Askofu Kodia akiwataka viongozi wa siasa kutoka eneo hilo kufanya kikao mara moja ili kuzima vurugu za mara kwa mara kwenye mikutano ya kisiasa eneo hilo. Akizungumza mapema leo, Kodia alisema kuwa vurugu hizo huenda zikasababisha atiati kwa wakazi na kuvuruga uchaguzi mkuu ujao. Laura Otieno anatuarifu zaidi.