Skip to main content
Skip to main content

Baada ya zaidi ya miaka 60, haki ya Lumumba itapatikana?

  • | BBC Swahili
    17,008 views
    Duration: 1:50
    Mahakama ya Ubelgiji imeamua kwamba mwanadiplomasia wa zamani anaweza kufikishwa mahakamani kuhusiana na mauaji ya Patrice Lumumba, Waziri Mkuu wa kwanza wa Congo. Lumumba, aliuawa kikatili mwaka 1961 na mwili wake kuyeyushwa kwa tindikali. Sasa, mshukiwa wa mwisho aliyesalia anaweza kushtakiwa. Je, haki itapatikana kwa familia ya Lumumba? @frankmavura anaelezea #bbcswahili #lumumba #Congo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw