Skip to main content
Skip to main content

Baadhi wapendekeza wanafunzi watundu wacharazwe

  • | Citizen TV
    734 views
    Duration: 3:27
    Kamati ya elimu ya bunge la kitaifa inapoendeleza vikao kukusanya maoni kuhusu miswada kadhaa ya elimu ya mwaka 2026,wazazi na wadau wa elimu kaunti ya Uasin Gishu wamependekeza kurejeshwa kwa adhabu kali shuleni,ili kukabili utundu wa wanafunzi.