- 9,652 viewsDuration: 2:49Timu za Bayern Munich ya Ujerumani na Ajax ya Uholanzi zitachuana katika uwanja wa Talanta jijini Nairobi Januari mwakani, wakati wa hafla ya uzinduzi rasmi wa uwanja huo wa kimataifa. Rais William Ruto ametangaza hayo akisema Kenya iko tayari kuandaa dimba la AFCON mwaka ujao.