Skip to main content
Skip to main content

Bei ya mafuta duniani imepanda zaidi ya dola 100 kwa pipa kutokana na vita Iran

  • | BBC Swahili
    3,590 views
    Duration: 3:02
    Je Afrika na dunia kwa jumla imejiandaaje kukabiliana na kupanda kwa bei ya mafuta? - Watafiti wanaonya kuwa endapo bei ya mafuta itaendelea kubaki juu ya dola 100$ kwa pipa, bei ya vyakula na bidhaa muhimu zitapanda na kusabisha kuzorota kwa uchumi wa dunia. @Phillys Mwatee na tathmini hii - - - #iran #israel🇮🇱 #donaldtrump #foryou #bbcswahiliSubscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw