Skip to main content
Skip to main content

Bei ya petroli yapanda kwa shilingi 16 na dizeli kwa shilingi 46 nchini

  • | Citizen TV
    4,096 views
    Duration: 2:00
    Wakenya wapata wakati mgumu kwa sababu bei ya mafuta yafikia kiwango cha juu zaidi kuwahi kushuhudiwa nchini. Bei mpya zatangazwa na Mamlaka ya Kudhibiti bei ya mafuta nchini, EPRA, zaonyesha kuwa bei ya petroli yaongezeka kwa shilingi 16 kwa lita huku dizeli ikiongezeka kwa shilingi 46 kwa kila lita.