Wadau katika sekta ya uchukuzi, wa magari ya kielektroniki wanataka sera kuimarishwa katika kanuni za sekta hiyo ikiwa wanataka inawiri na kukua kikamilifu kupitia wawekezaji na watumiaji. Msimamizi wa Mawasiliano wa kampuni ya BasiGo, Wanjiru Mureithi, anasema kuwa sekta hii bado ni changa na inakabiliwa na marekebisho ya kisera kila mwaka na hivyo kuwa vigumu kuimarisha mikakati ya biashara. Kwa taarifa hii na nyingine,huu hapa mseto wa habari za biashara.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive