- 11,710 viewsDuration: 7:00Mfanyabiashara Mtanzania Rostam Azizi amesema kwamba ukaribu wake na viongozi wa Afrika Mashariki hautadunisha uhuru wa habari katika shirika la habari la Nation Media Group (NMG). Hii ni baada ya bilionea huyo kununua shirika hilo na kuwa mwanahisa wake mkuu. #RostamAzizi #NMG #bbcswahili #bbcswahilileo #NationMediaGroup #Kenya #tanzania #Uganda Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw