10 Nov 2026 10:14 am | Citizen TV 291 views Duration: 1:30 Imebainika asilimia 40 ya maji kutoka chemichemi ya Mzima yanayosambazwa katika kaunti za Pwani hupotea kutokana na bomba kuu la Mzima kuchakaa na hivyo kusababisha maji kuvuja kila mara.