2 Sep 2025 10:37 am | Citizen TV 152 views Duration: 1:43 Wafugaji wadogo wadogo wa samaki kijijini Nyalara katika eneo bunge la Butula kaunti ya Busia wamelalamikia kupuuzwa na idara husika wakisema wamenyima nafasi ya kuimarisha biashara hiyo nyanjani