Skip to main content
Skip to main content

David Kipsang Keter ateuliwa kuwa mbunge wa eneo bunge la Emurua Dikkir kaunti ya Narok

  • | Citizen TV
    6,433 views
    Duration: 2:06
    Baada ya kupata kura 18,266. Vincent Kibet Rotich wa chama cha DCP akuwa wa pili na kura 10, 760 huku Gideon Koech wa chama cha NVPK aibuka wa tatu. Wapiga kura zaidi ya elfu 29 wajitokeza kupiga kura kufuatia kifo cha Aliyekuwa mbunge wa eneo hilo Johanna Ngeno katika ajali ya ndege mnamo mwezi Februari