- 1,376 viewsDuration: 2:44Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Mohammed Amin, amewaonya walanguzi wa dawa za kulevya kufuatia kukamatwa kwa shehena ya dawa hizo jana katika Kaunti ya Kwale. Onyo la Amin linajiri huku washukiwa watatu, raia wa Tanzania na Uganda, wakifikishwa mahakamani mjini Mombasa, ambako wamezuiliwa kwa siku 15 zaidi. Francis Mtalaki ana mengi.