Skip to main content
Skip to main content

DCI wachunguza mauaji ya Oliver Barasa baada ya mwili wake kupatikana kando ya mto Bungoma

  • | Citizen TV
    4,257 views
    Duration: 1:39
    Maafisa wa DCI katika eneo bunge la Tongaren kaunti ya bungoma wameanzisha uchunguzi wa mauwaji ya mkazi wa eneo hilo Oliver Simiyu Barasa ambaye mwili wake ulipatikana umetupwa kando ya mto katika kijiji cha Nabing’eng’e.