- 13,095 viewsDuration: 2:16Idara ya uchunguzi wa makosa ya jinai DCI katika eneo bunge la Butula kaunti ya Busia inafanya uchunguzi kuhusu madai ya mgonjwa mmoja kuvunjika miguu yake mara tatu katika hospitali ya kaunti ndogo ya Khunyangu kutokana na makosa ya muhudumu aliyekua akimhudimia.