Skip to main content
Skip to main content

Droni yalipua kanisa ya miaka 400

  • | BBC Swahili
    20,308 views
    Duration: 38s
    Tazama wakati ndege isiyo na rubani ilipolipua na kuharibu kanisa moja la Ukraine lililojengwa miaka 400 iliyopita. Jengo hilo, ambalo ni sehemu ya urithi wa dunia kwa mujibu wa UNESCO, lina historia na thamani kubwa ya utamaduni kwa Ukraine na dunia kwa ujumla. Mashambulizi hayo yameibua wasiwasi mkubwa kuhusu uharibifu wa maeneo ya kihistoria na usalama wa raia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw