Skip to main content
Skip to main content

Duka la Naivas lawatunuku kina baba zawadi tofauti

  • | Citizen TV
    1,667 views
    Duration: 1:26
    Baadhi ya kina baba leo wametunikiwa zawadi kemkem na usimamizi wa duka la bidhaa la Naivas katika kituo cha kibiashara cha Capital Centre hapa jijini Niarobi. Kama njia ya kusherehekea siku ya kina baba yaani fathers day, kampuni ya Naivas iliwapa kina baba zawadi za vocha za bidhaa tofauti na kutambua mchango wao kama wazazi katika jamii. Waliofika kupokea zawadi hizo walikuwa na furaha na bashasha huku wakipongeza Naivas kwa kuwatunuku na kuwatambua kwa ulezi, uongozi na muelekeo wao thabitin katika familia na jamii kwa ujumla.