8 Sep 2026 10:09 am | Citizen TV 453 views Duration: 1:00 Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) imeanzisha uchunguzi dhidi ya Shirika la Viwanda vya Samaki nchini (KFIC). Maafisa wa shirika hilo wanadaiwa kufuja Sh20 milioni zilizotengwa kwa vifaa vya uvuvi.