- 3,510 viewsDuration: 2:50Shughuli ya kufukua vifusi mtaani Eastleigh imepangiwa kukamilika leo huku bado watu 11 wakikosa kufikia kwenye zoezi hili lililoendelea kwa siku ya 10 hii leo. Jamaa za waathiriwa wakisalia na matumaini kuwa jamaa zao watapatikana. Na kama Gatete Njoroge anavyoarifu, vifaa zaidi vya kukamilisha shughuli hii vililetewa kwenye juhudi hizi za lala salama zinazoendelea kwa sasa.