30 Oct 2026 11:57 am | Citizen TV 2,730 views Duration: 1:19 Edwin Sifuna: Tunataka kukata milioni 500 kutoka kwa bajeti ya serikali turudishie wakenya hio pesa, tutoe ushuru ya mafuta, stima na housing levy kwa sababu Wakenya wanaumia