10 Nov 2026 1:58 pm | Citizen TV 893 views Duration: 1:20 Timu ya taifa ya soka Kenya chini ya miaka 23, Emerging Stars, inaendelea na mazoezi huku ikiimarisha maandalizi yake kwa mchezo ujao dhidi ya Ivory Coast.