16 May 2026 7:57 pm | Citizen TV 2,464 views Duration: 56s Faith Kipyegon ameshinda mbio za wanawake za mita 5000 katika Mashindano ya Shanghai Diamond League nchini China, akitumia muda bora duniani wa dakika 14:24.14.