- 315 viewsDuration: 3:45Familia moja katika eneo bunge la Mathare kaunti ya Nairobi inaomba usaidizi ili kumwezesha mwana wao kujiunga na Gredi ya kumi. Familia ya Vijinia Muteu asiye na kazi wala mume inasema imefanya kila juhudi kuhakikisha mwanawe, David Agoi aliyejipatia alama 54 kwenye mtihani wa KJSEA anajiunga na shule ya upili bila mafanikio.Familia hiyo sasa inatoa wito kwa wahisani kumsaidia David Agoi kutimiza ndoto yake ya elimu na kuwa mhandisi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive