Skip to main content
Skip to main content

Familia moja Kanyaliech yagubikwa na majonzi baada ya kifo cha mtahiniwa wa KCSE Homa Bay

  • | Citizen TV
    1,936 views
    Duration: 2:17
    Familia moja katika kijiji cha Kanyaliech, eneo bunge la Karachuonyo kaunti ya Homa Bay, imegubikwa na majonzi kufuatia kifo cha , mtahiniwa wa kidato cha nne katika shule ya upili ya Alaru Mixed.