27 Oct 2026 1:40 pm | Citizen TV 5,317 views Duration: 2:10 Familia moja eneo la Ebuayangu, kaunti ndogo ya Emuhaya, kaunti ya Vihiga, inaishi kwa hofu baada ya jamaa yao ambaye ni afisa wa idara ya polisi kutoweka kwa njia tatanishi.