2 Nov 2026 10:21 am | Citizen TV 339 views Duration: 1:44 Familia wenye jamaa wanaoishi na ulemavu katika kaunti ya Tana River wamehimizwa kutowaficha nyumbani badala yake watokeze wao ili kupokea msaada na ufadhili kutoka kwa wahisani.