28 Oct 2026 1:24 pm | Citizen TV 12,382 views Duration: 2:00 Familia moja mtaani Bomani mjini Mumias kaunti ya Kakamega inaitaka idara ya usalama kumsaka mama aliyemuiba mtoto wao, Abigael Amani mwenye umri wa miaka miwili .