- 4,388 viewsDuration: 1:59Familia moja inalia haki baada ya mwili wa mwana wao kuzuiliwa katika makafani ya Hospitali ya Kijabe kutokana na deni la shilingi milioni sita za hospitali. Mtoto huyo wa miaka kumi, Dorcas Ndunge, alifariki akiwa anapokea matibabu katika hospitali hiyo baada ya kuumwa na mbwa. Mwili wa mtoto huyo umesalia katika makafani ya Kijabe kwa miezi sita sasa.