- 8,175 viewsDuration: 2:44Makumi ya familia katika mtaa wa Riruta Satellite wameachwa kwenye njia panda baada ya kutakiwa kuhama mara moja kwenye jumba walimokuwa wakiishi. Serikali ya Kaunti ya Nairobi ikisema jumba hilo ni hatari na kusema halifai kuwa na wapangaji kwani limeanza kupata mianya. Sasa wakazi hawa wakilazimika kuanza kujipanga upya kutafuta makao, kama Brenda Wanga anavyoarifu.