Skip to main content
Skip to main content

Familia za waathiriwa wa jumba la Eastleigh zataka msaada wa mazishi

  • | Citizen TV
    1,777 views
    Duration: 2:38
    Familia za waathiriwa wa mkasa wa jumba lililoporomoka mtaani Eastleigh, jijini Nairobi, sasa zinalalamikia kutelekezwa. Jamaa hao wanasema hawajapokea msaada wowote kutoka kwa serikali ya Kaunti ya Nairobi, licha ya kuahidiwa kusaidiwa katika mipango ya mazishi ya wapendwa wao. Haya yanajiri huku upasuaji wa maiti saba kati ya nane zilizopatikana ukikamilika. Willy Lusige na taarifa zaidi.