Skip to main content
Skip to main content

Familia za waathiriwa wa maandamano ya 2024 zadai haki

  • | Citizen TV
    868 views
    Duration: 2:43
    Hayo yakijiri na siku zikiwa zimesalia siku tatu kabla ya kumbukumbu ya waathiriwawa wa maandamano ya Gen Z ya mwaka 2024, familia zilizoathirika zimeendelea kudai haki kwa mauaji ya jamaa zao. Katika kaunti ya Kisumu, familia moja inatumai kuwa bunge litabuni sheria ya kudhibiti mienendo ya maafisa wa usalama, baada ya jamaa yao kupigwa risasi mara tano