Skip to main content
Skip to main content

Familia zaidi ya 1,000 zapewa chakula cha msaada Kajiado Kusini

  • | Citizen TV
    594 views
    Duration: 2:57
    familia zaidi ya 1,000 kutoka eneo bunge la Kajiado kusini zimenufaika na mafunzo kuhusu umuhimu wa kula vyakula vyenye virutubishi hasa kwa watoto na kina mama wajawazito ili kupambana na visa vya utapiomlo . Kwenye hafla hiyo, familia hizo zilipewa msaada wa vyakula kama anavyoarifu mwanahabari wetu Robert Masai.