Skip to main content
Skip to main content

Felix Koskei aongoza makatibu 34 kutathmini miradi ya miwa na mpunga Bura, Tana River

  • | Citizen TV
    1,027 views
    Duration: 1:40
    Mkuu wa utumishi wa umma Felix Koskei ameongoza kikosi cha makatibu wa wizara 34 kuzuru mradi wa kilimo cha miwa na mpunga huko Bura kaunti ya Tana River kutathmini hali ya mradi huo.